Na Mwandishi Wetu YANGA na Simba ni miongoni mwa timu nne zitakazokuwa viwanjani kesho (Machi 31 mwaka huu) kusaka pointi tatu za Ligi Kuu ya…
Continue Reading....Category: Michezo
Zimbabwe yaitaka Twiga Stars
CHAMA cha Mpira wa Miguu Zimbabwe (ZIFA) kimeomba mechi ya kirafiki kati ya timu yake ya Taifa ya wanawake na Twiga Stars. Mechi hiyo itakayochezwa…
Continue Reading....Mtihani wa mawakala wa FIFA sasa Machi 31
MTIHANI kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa mawakala wa wachezaji na mechi wanaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Machi 31…
Continue Reading....Kuziona Moro United, African Lyon 1,000/-
VIINGILIO kwenye mechi namba 149 ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Moro United na African Lyon itakayochezwa kesho (Machi 24 mwaka huu) Uwanja…
Continue Reading....MRFA yatakiwa kulipa mil. 15 kuwa mwenyeji wa ligi
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekipa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro (MRFA) hadi Machi 26 mwaka huu kukamilisha malipo ya…
Continue Reading....Fainali Daraja la Kwanza kuchezwa Morogoro
Na Mwandishi Wetu MJI wa Morogoro ndiyo utakaokuwa mwenyeji wa kituo cha Fainali ya Tisa Bora ya Ligi Daraja la Kwanza kuwania nafasi tatu za…
Continue Reading....