Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 308

Category: Michezo

SUDAN KUWASILI MCHANA HUU

Posted on: April 19, 2012 - jomushi
SUDAN KUWASILI MCHANA HUU

Timu ya Taifa ya Sudan (U20) inawasili leo saa 7.25 mchana (Aprili 19 mwaka huu) kwa ndege ya Ethiopian Airlines namba ET 805 ikiwa na…

Continue Reading....

TAARIFA KUTOKA TFF JANA

Posted on: April 19, 2012 - jomushi
TAARIFA KUTOKA TFF JANA

WAGANDA KUCHEZESHA NGORONGORO VS SUDAN Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewateua waamuzi kutoka Uganda kuchezesha mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye…

Continue Reading....

Maximo aibuka Brazil, atoa ushauri kuhusu timu ya Taifa Tanzania

Posted on: April 17, 2012 - jomushi
Maximo aibuka Brazil, atoa ushauri kuhusu timu ya Taifa Tanzania

Na Anna Nkinda – Sao Paul, Brazil VILABU vya soka nchini vimeshauriwa kuwa na timu nzuri kuanzia ngazi ya watoto wenye umri wa miaka nane,…

Continue Reading....

Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali

Posted on: April 15, 2012 - jomushi
Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali

Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali Msimamo huo ni kabla ya matokeo ya mechi za Mgambo Shooting vs Polisi Tabora (saa 8.00…

Continue Reading....

Prisons, Mlale JKT zagawana pointi

Posted on: April 15, 2012 - jomushi
Prisons, Mlale JKT zagawana pointi

Na Mwandishi Wetu, Morogoro TIMU za Tanzania Prisons ya Mbeya na Mlale JKT ya Ruvuma zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa fainali za…

Continue Reading....

Rais Kikwete aitumia rambirambi Yanga

Posted on: April 14, 2012 - jomushi
Rais Kikwete aitumia rambirambi Yanga

Na Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa klabu ya mpira wa miguu ya Young Africans Sports Club (Yanga), Lyod…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari