Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 306

Category: Michezo

Torres airudishia uhai Chelsea

Posted on: April 30, 2012 - jomushi
Torres airudishia uhai Chelsea

Fernando Torres amepachika mabao matatu murua na kuweka hai matumaini ya Chelsea kumaliza katika nafasi nne za juu za msimamo wa Ligi Kuu ya Kandanda…

Continue Reading....

Pep Guardiola kuondoka Barcelona

Posted on: April 28, 2012April 28, 2012 - jomushi
Pep Guardiola kuondoka Barcelona

Inafahamika kuwa Pep Guardiola anakaribia kuacha kuifundisha Barcelona baada ya kuifahamisha klabu hiyo kuwa hawezi kuendelea kuwa kocha. Guardiola mwenye umri wa miaka 41 atatangaza…

Continue Reading....

Mechi ya Bongo Movie, Twiga Stars sasa Mei 4, 2012

Posted on: April 27, 2012 - jomushi
Mechi ya Bongo Movie, Twiga Stars sasa Mei 4, 2012

MECHI maalumu ya hisani kwa ajili ya kuchangia timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars), kati ya timu hiyo na wasanii wa filamu maarufu kama…

Continue Reading....

Wachezaji 9 Polisi Dodoma wapigwa faini mil. 1 kila mmoja

Posted on: April 26, 2012 - jomushi
Wachezaji 9 Polisi Dodoma wapigwa faini mil. 1 kila mmoja

Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Ligi ya TFF imewafungia mechi tatu na kuwapiga faini y ash. milioni mmoja kila mmoja wachezaji tisa wa timu ya…

Continue Reading....

Mtibwa Sugar yapoteza mechi ya Azam

Posted on: April 26, 2012 - jomushi
Mtibwa Sugar yapoteza mechi ya Azam

*Yapigwa faini pia ya sh. 500,000 KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemuondoa mwamuzi Rashid Msangi wa Dodoma kwenye orodha…

Continue Reading....

Bayern kucheza na Chelsea club Bingwa

Posted on: April 26, 2012 - jomushi
Bayern kucheza na Chelsea club Bingwa

Bayern kuipokea Chelsea katika fainali ya klabu bingwa mjini Munich Bayern Munich wamefuzu katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya jana usiku baada ya kushinda…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari