Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amewataka wachezaji wa timu ya Netiboli ya Taifa (Taifa Queens) kufanya vizuri…
Continue Reading....Category: Michezo
Ngorongoro Heroes mzigoni leo Sudan
Na Boniface Wambura, Khartoum, Sudan NGORONGORO Heroes inaikabili Sudan Jumamosi kwa staili ya kushambulia ili kuhakikisha inapata tiketi ya kusonga mbele katika michuano ya Afrika…
Continue Reading....Ngorongoro Heroes wawasili salama Khartoum
Boniface Wambura, Khartoum, Sudan NGORONGORO Heroes imewasili salama hapa Khartoum jana saa 4 usiku kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye…
Continue Reading....Man City kileleni
Manchester City imechukua tena usukani wa ligi kuu ya England na kuongeza matumaini ya kunyakua ubingwa baada ya kuwachapa mahasimu wao Manchester United kwa 1-0.…
Continue Reading....Rufani ya African Lyon kujadiliwa Mei 2, TFF yaipongeza Simba
*TFF yaipongeza Simba kwa ushindi wa 3-0 Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kukutana Mei 2…
Continue Reading....Ngorongoro Heroes kwenda Sudan Mei 2
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajia kuondoka Mei 2 mwaka huu kwenda Sudan kwa…
Continue Reading....