Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 3

Category: Michezo

Ugomvi wa FA na Bunge la Uingereza Lafikia Pabaya

Posted on: February 6, 2017 - Yohana Chance
Ugomvi wa FA na Bunge la Uingereza Lafikia Pabaya

Hofu imeanza kutanda kwa mashabiki wa soka nchini humo jambo hili linaweza kuwatoa Uingereza katika michuano ijayo ya kombe la dunia nchini Russia ,Endapo bunge…

Continue Reading....

Timu ya Wanahabari Iringa Yapigwa Tafu na Mbunge

Posted on: February 3, 2017 - jomushi
Post Tags: Mpira
Timu ya Wanahabari Iringa Yapigwa Tafu na Mbunge

Mbunge  wa  viti  maalum  mkoa wa  Iringa Ritta Kabati (CCM) akimkabidhi mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoani Iringa moja ya jezi alizotoa kwa waandishi wa habari…

Continue Reading....

Chuo cha CBE Waibuka Vinara ‘TTCL Inter College Beach Soccer’

Posted on: January 9, 2017 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Chuo cha CBE Waibuka Vinara ‘TTCL Inter College Beach Soccer’

    Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE) kimeibuka vinara wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni ‘TTCL…

Continue Reading....

Meneja wa Crystal Palace Atimuliwa

Posted on: December 23, 2016 - Yohana Chance
Meneja wa Crystal Palace Atimuliwa

Klabu ya Crystal Palace imemfuta kazi mkufunzi wake Alan Pardew wakati ambapo klabu hiyo iko katika nafasi ya 17 katika ligi ya Uingereza. Pardew aliteuliwa…

Continue Reading....

Tanzania Viwango vya FIFA Bado Tia Maji

Posted on: December 23, 2016 - Yohana Chance
Tanzania Viwango vya FIFA Bado Tia Maji

Taifa la Guinea-Bissau ndio taifa lililofaidika sana katika orodha mpya ya shirikisho la soka duniani Fifa mwaka 2016 baada ya kupanda nafasi 78 tangu Disemba…

Continue Reading....

Leicester City Yatwaa Tuzo ya Klabu Bora

Posted on: December 22, 2016 - Yohana Chance
Leicester City Yatwaa Tuzo ya Klabu Bora

Klabu ya soka ya Leicester imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka kwa kuwashangaza wengi waliposhinda ligi ya Uingereza. The Foxes kama inavyojiita ilishinda tuzo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari