Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 299

Category: Michezo

Yanga yaomba msaada wa kisheria TFF, ni baada ya mambo ‘kuvurugika’

Posted on: May 25, 2012May 25, 2012 - jomushi
Yanga yaomba msaada wa kisheria TFF, ni baada ya mambo ‘kuvurugika’

KWA vile wajumbe kadhaa wa Kamati ya Utendaji ya Yanga akiwemo Mwenyekiti wa kamati hiyo Lloyd Nchunga wamejiuzulu, Kamati ya Uchaguzi ya Yanga imeliandikia barua…

Continue Reading....

Taifa Stars kupambana na Malawi leo

Posted on: May 25, 2012 - jomushi
Taifa Stars kupambana na Malawi leo

TIMU za Taifa za Tanzania (Taifa Stars) na Malawi (The Flames) zinapambana leo Mei 26 mwaka huu katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Uwanja wa Taifa,…

Continue Reading....

Hatimaye Lyod Nchunga wa Yanga ajiuzulu

Posted on: May 25, 2012 - jomushi
Hatimaye Lyod Nchunga wa Yanga ajiuzulu

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Lyod Nchunga ametangaza kujiuzulu rasmi kwenye nafasi hiyo. Nchunga ametangaza uamuzi huo leo alipokuwa akizungumza na vyombo…

Continue Reading....

Didier Drogba athibitisha kuondoka Chelsea

Posted on: May 24, 2012 - jomushi
Didier Drogba athibitisha kuondoka Chelsea

HATIMAYE athibitisha ataondoka Chelsea Mshambulizi Didier Drogba ataihama timu ya Chelsea ya England msimu huu wa joto, baada ya kukichezea klabu kwa muda wa miaka…

Continue Reading....

Twiga Stars kwenda Addis Ababa Mei 24

Posted on: May 22, 2012 - jomushi
Twiga Stars kwenda Addis Ababa Mei 24

*Pambano lao, Banyana Banyana laingiza mil. 8/- TIMU ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) inatarajia kuondoka nchini Mei 24 mwaka huu kwa ndege ya Ethiopian…

Continue Reading....

Mbwana Samata, Ulimwengu waripoti Taifa Stars

Posted on: May 22, 2012 - jomushi
Mbwana Samata, Ulimwengu waripoti Taifa Stars

WASHAMBULIAJI Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wanaocheza mpira wa kulipwa katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wamejiunga na kambi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari