Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 295

Category: Michezo

Italia yafuzu kuingia nusu fainali

Posted on: June 25, 2012June 25, 2012 - jomushi
Italia yafuzu kuingia nusu fainali

TIMU ya England ya soka imeondolewa katika mashindano ya Euro 2012, baada ya kufungwa na Italia usiku wa Jumapili katika robo fainali, kwa kufungwa magoli…

Continue Reading....

Timu 20 kucheza ligi Daraja la kwanza

Posted on: June 22, 2012June 22, 2012 - jomushi
Timu 20 kucheza ligi Daraja la kwanza

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeridhia mapendekezo ya Kamati ya Mashindano ya kutaka Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kuwa…

Continue Reading....

Mkutano Mkuu wa Dharura TWFA sasa ni Juni 23

Posted on: June 21, 2012 - jomushi
Mkutano Mkuu wa Dharura TWFA sasa ni Juni 23

Na Mwandishi Wetu MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA) utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukumbi wa…

Continue Reading....

Timu ya vijana Mara kudumisha nidhamu Copa cocacola

Posted on: June 21, 2012June 21, 2012 - jomushi
Timu ya vijana Mara kudumisha nidhamu Copa cocacola

Na mwandishi wetu Musoma, TIMU ya soka ya Vijana walio na umri chini ya miaka 17 ya Mkoa wa Mara imeondoka leo alfajiri kuelekea Jijini…

Continue Reading....

Taifa Stars yafungishwa virago mchujo Kombe la Mataifa ya Afrika

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
Taifa Stars yafungishwa virago mchujo Kombe la Mataifa ya Afrika

Na Mwandishi Wetu Maputo TAIFA Stars imetolewa kwenye mechi za mchujo za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa kwa penalti na wenyeji Msumbiji…

Continue Reading....

Ethiopia yawasili kuikabili Twiga Stars

Posted on: June 14, 2012 - jomushi
Ethiopia yawasili kuikabili Twiga Stars

MSAFARA wa watu 25 wa timu ya Taifa ya wanawake ya Ethiopia umewasili leo Juni 14 mwaka huu saa 7 mchana kwa ndege ya Ethiopian…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari