Hayawi hayawi hatimaye yalikuwa, moto uliwaka usiku wa jana mjini Warsaw kufuatia mchuano mkali baina ya Ujerumani na Italia. Italia ili ndiyo ilikuwa mbabe zaidi…
Continue Reading....Category: Michezo
Mwanariadha wa Kenya matatani
POLISI nchini Kenya wamemchukulia hatua mwanariadha mashuhuri Ezekiel Kemboi kwa madai ya kumdunga kisu mwanamke mmoja Jumatano usiku. Kemboi anasifika kwa mbio za mita elfu…
Continue Reading....Hispania yafuzu kuingia fainali, yainyuka Ureno 4-2
MABINGWA watetezi Uhispania wamefuzu kuingia fainali ya Euro 2012, baada ya kuishinda Ureno magoli 4-2, kupitia mikwaju ya penalti, baada ya muda wa kawaida wa…
Continue Reading....Dodoma yaitambia Mbeya Copa Cocola-2012
DODODMA imeendeleza wimbi la ushindi kwenye michuano ya Copa Coca-Cola 2012 baada ya leo asubuhi (Juni 27 mwaka huu) kuifunga Mbeya mabao 2-0 katika mchezo…
Continue Reading....TFF kuwakumbuka wapiga picha mashindano ya COPA COCA-COLA
*Ngorongoro Heroes kujipima na Misri, Rwanda SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litawazawadia wapiga picha za magazetini watakaoripoti mashindano ya Copa Coca-Cola 2012 ngazi…
Continue Reading....TFF yamtaja kocha mpya timu ya vijana
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtambulisha rasmi mbele ya waandishi wa habari kocha mpya wa timu za Taifa za vijana, Jakob Michelsen kutoka…
Continue Reading....