Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 28

Category: Michezo

DarCity Veterans Wapepetana Dhidi ya Boko Beach Veretans

Posted on: July 25, 2016 - jomushi
Post Tags: michezo mpira
DarCity Veterans Wapepetana Dhidi ya Boko Beach Veretans

 Kikosi cha DarCity Veterans, kinachoongozwa na Mwanasoka wa zamani, Tippo Athuman Shaaban “Zizzou” (Wa nne kulia waliosimama) kikiwa katika picha ya pamoja, kabla ya mchezo…

Continue Reading....

Mourinho na Guardiola Hawawezi Kuonana Kwa sasa

Posted on: July 25, 2016 - Yohana Chance
Mourinho na Guardiola Hawawezi Kuonana Kwa sasa

Mechi ya kirafiki kati ya miamba wa Uingereza, Manchester City na Manchester United, imefutiliwa mbali kutokana na mvua kubwa. Mechi hiyo ilikuwa imepangiwa kuchezewa uwanja…

Continue Reading....

Soma hapa Ratiba nzima ya UEFA Msimu Mpya, Kina Samatta Wamo

Posted on: July 22, 2016 - Yohana Chance
Soma hapa Ratiba nzima ya UEFA Msimu Mpya, Kina Samatta Wamo

Timu za Astra Giurgiu, Olympiacos, Viktoria Plzeň, Celtic na Dinamo Zagreb zimetinga Raundi ya 3 ya Mtoano ya UEFA , baada ya kukamilika Mechi za…

Continue Reading....

Klabu ya Napoli Waibania Atletico Kwa Higuain

Posted on: July 22, 2016July 22, 2016 - Yohana Chance
Klabu ya Napoli Waibania Atletico Kwa Higuain

Rais wa klabu ya Napoli Aurelio De Laurentiis amebainisha kuwa walikataa ofa ya euro milioni 60 na wachezaji wawili au watatu kutoka Atletico Madrid kwa…

Continue Reading....

CAF Yapata Mdhamini Mpya Kutoka Nchini Ufaransa

Posted on: July 22, 2016July 22, 2016 - Yohana Chance
CAF Yapata Mdhamini Mpya Kutoka Nchini Ufaransa

Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limepata mdhamini mpya baada ya kumalizika kwa mkataba wake na kampuni ya mawasiliano ya Orange. Orange imekuwa mdhamini mkuu…

Continue Reading....

Taifa Stars Kuingia Kambini Wiki Ijayo Kujiandaa na AFCON

Posted on: July 21, 2016July 21, 2016 - Yohana Chance
Taifa Stars Kuingia Kambini Wiki Ijayo Kujiandaa na AFCON

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Jumanne ya Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa ajili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari