Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 27

Category: Michezo

Dirisha la Usajili kwa Wachezaji Kufungwa Mwezi Ujao

Posted on: July 28, 2016 - Yohana Chance
Dirisha la Usajili kwa Wachezaji Kufungwa Mwezi Ujao

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine ameziasa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) na Ligi Daraja…

Continue Reading....

Mourinho na Rooney Wajiingiza Matatani Kwa Mara Nyingine

Posted on: July 27, 2016July 27, 2016 - Yohana Chance
Mourinho na Rooney Wajiingiza Matatani Kwa Mara Nyingine

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ataamua ni safu gani ambayo Wayne Rooney atalichezea taifa lake, kulingana na mkufunzi mpya wa Uingereza Sam Allardyce. Rooney…

Continue Reading....

Klabu ya Arsenal Wabaniwa Kumnunua Alexandre

Posted on: July 27, 2016 - Yohana Chance
Klabu ya Arsenal Wabaniwa Kumnunua Alexandre

Klabu ya Lyon imekataa ombi la Euro milioni 35 kutoka Arsenal kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga…

Continue Reading....

JKT Ruvu Yaichapa Simba Fainaliza Mashindano ya FASDO Dar

Posted on: July 27, 2016 - jomushi
Post Tags: michezo mpira
JKT Ruvu Yaichapa Simba Fainaliza Mashindano ya FASDO Dar

     Timu ya Simba chini ya Umri wa Miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpira kuanza dhidi ya JKT Ruvu  Timu…

Continue Reading....

Rais wa FIFA Aipendelea Bara la Afrika Kombe la Dunia

Posted on: July 26, 2016 - Yohana Chance
Rais wa FIFA Aipendelea Bara la Afrika Kombe la Dunia

Bara la Afrika litapewa nafasi nyengine mbili zaidi iwapo ulimwengu wa dunia litaongeza idadi ya mataifa yanayoshiriki hadi 40 kuanzia mwaka 2026 kulingana na rais…

Continue Reading....

Mkwasa Ataja Majeshi yake Yatakayoivaa Nigeria

Posted on: July 26, 2016 - Yohana Chance
Mkwasa Ataja Majeshi yake Yatakayoivaa Nigeria

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini Julai 30 kwa ajili ya kujiandaa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari