KOCHA wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametangaza timu ya pili ya Taifa (Young Taifa Stars) atakayoitumia kuangalia wachezaji ambao baadaye anaweza kuwajumuisha kwenye timu ya…
Continue Reading....Category: Michezo
Rais Tenga Atoa Mipira ya Dola 30,000
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga ametoa mipira zaidi ya 1,200 yenye thamani ya dola 30,000 za Marekani kwa vyama…
Continue Reading....Coastal Union, Azam Kucheza Siku ya Muungano
TIMU za Coastal Union ya Tanga na Azam zitapambana Aprili 26 mwaka huu katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) itakayofanyika kwenye Uwanja wa…
Continue Reading....Ligi ya Mabingwa wa Mikoa Kuanza Mei 12
LIGI ya Mabingwa wa Mikoa kutafuta timu tatu zitakazopanda kucheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu ujao chini ya usimamizi wa Shirikisho la Mpira wa…
Continue Reading....Makocha Azam, FAR Rabat ya Morocco Kuzungumza na Waandishi
MAKOCHA wa timu za Azam, Stewart John Hall na AS FAR Rabat ya Morocco, Abderazzak Khairi watakutana na waandishi wa habari kesho (Aprili 19 mwaka…
Continue Reading....Ligi Kuu ya Tanzania Bara Kutimua Vumbi Viwanja Vitatu
LIGI Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea kesho (Aprili 17 mwaka huu) kwenye viwanja vitatu huku vinara wa ligi hiyo Yanga…
Continue Reading....