Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 247

Category: Michezo

TFF Kufanya Uchaguzi Mkuu Septemba 29.

Posted on: May 9, 2013May 9, 2013 - jomushi
TFF Kufanya Uchaguzi Mkuu  Septemba 29.

MKUTANO MKUU wa Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unatarajiwa kufanyika Septemba 29 mwaka huu baada ya ule wa Dharura wa marekebisho…

Continue Reading....

Mikoa Yatakiwa Kuchezesha Copa Cocacola Wilayani

Posted on: May 8, 2013 - jomushi
Mikoa Yatakiwa Kuchezesha Copa Cocacola Wilayani

VYAMA VYA MPIRA wa Miguu vya mikoa vinatakiwa kuendelea na mashindano ya Copa Coca-Cola yanayoshirikisha watoto wenye umri chini ya miaka 15 katika ngazi ya…

Continue Reading....

Simba, Mgambo Shooting Kuingia Uwanjani Kesho

Posted on: May 7, 2013 - jomushi
Simba, Mgambo Shooting Kuingia Uwanjani Kesho

TIMU za Simba na Mgambo Shooting ya Tanga zinaumana kesho (Mei 8 mwaka huu) katika mchezo pekee wa Ligi Kuu ya Vodacom utakaofanyika Uwanja wa…

Continue Reading....

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa; Red Coast, Kariakoo, Saigoni Kuanzia Nyumbani

Posted on: May 7, 2013 - jomushi
Ligi ya Mabingwa wa Mikoa; Red Coast, Kariakoo, Saigoni Kuanzia Nyumbani

UPANGAJI ratiba (draw) ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) umefanyika leo (Mei 7 mwaka huu) huku mabingwa wa mikoa ya Dar es Salaam (Red…

Continue Reading....

Tanzania Yaungana na Kenya Nusu Fainali

Posted on: May 6, 2013 - jomushi
Tanzania Yaungana na Kenya Nusu Fainali

Daniel, Mwalimu, Kenneth na Wills wataendelea kuziwakilisha nchi zao kuwania kitita cha dola za kimarekani 250,000 na nafasi ya kuvishwa taji la ubingwa wa Pan-African.…

Continue Reading....

Michuano ya Esther Bulaya Yamalizika

Posted on: May 5, 2013 - jomushi
Michuano ya Esther Bulaya Yamalizika

Na Augustine Mgendi,Bunda   MICHUANO ya Kombe la Mbunge wa Viti Maalum Kupitia Vijana Mkoani Mara Esther Bulaya linalojulikana kama Esther Bulaya Cup imemalizika wilayani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari