Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 239

Category: Michezo

Watanzania Wachaguliwa Kukuza Vipaji vya Soka Aspire

Posted on: June 29, 2013 - jomushi
Watanzania Wachaguliwa Kukuza Vipaji vya Soka Aspire

WACHEZAJI wawili kutoka Tanzania wamechaguliwa miongoni mwa 50 waliofanyiwa majaribio nchini Uganda kwa ajili ya kuingia katika kituo cha kuendeleza vipaji (centre of excellence) kilichoko…

Continue Reading....

Francis Cheka Awaahidi Makubwa Watanzania

Posted on: June 26, 2013June 26, 2013 - jomushi
Francis Cheka Awaahidi Makubwa Watanzania

Continue Reading....

Sifa United Yaiadhibu Mtakuja 5-2 Airtel Rising Stars

Posted on: June 25, 2013June 25, 2013 - jomushi
Sifa United Yaiadhibu Mtakuja 5-2 Airtel Rising Stars

BAADA ya kubamizwa 3-1 na Makumbusho United siku ya Jumapili Sifa United ya Manzese jana ilisahihisha makosa yake na kuiadihbu Mtakuja Beach 5-2 katika michuano…

Continue Reading....

TFF Yamlilia Mchezaji Mathias

Posted on: June 24, 2013 - jomushi
TFF Yamlilia Mchezaji Mathias

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Cosmopolitan na Taifa Stars, Mathias…

Continue Reading....

Michuano ya Airtel Rising Stars Yaanza Rasmi

Posted on: June 24, 2013 - jomushi
Michuano ya Airtel Rising Stars Yaanza Rasmi

TIMU ya Makumbusho United imeanza vema mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Kinondoni baada…

Continue Reading....

David Luhende Aongezwa Kikosi cha Taifa Stars, Timu 4 Kucheza RCL

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
David Luhende Aongezwa Kikosi cha Taifa Stars, Timu 4 Kucheza RCL

BEKI wa Yanga, David Luhende ameongezwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya mechi dhidi ya Uganda (The Cranes) kuwania tiketi ya kucheza Fainali…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari