Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 237

Category: Michezo

Leodegar Tenga Afanya Mabadiliko Kamati Anuai za TFF

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Leodegar Tenga Afanya Mabadiliko Kamati Anuai za TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Bernard Luanda kuongoza Kamati ya Rufani ya Uchaguzi kufuatia mabadiliko ya…

Continue Reading....

TFF Yavuna Milioni 113.3 Mechi ya Taifa Stars na The Cranes

Posted on: July 14, 2013 - jomushi
TFF Yavuna Milioni 113.3 Mechi ya Taifa Stars na The Cranes

MECHI ya kwanza mchujo ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na…

Continue Reading....

Mkutano Mkuu TFF Wapitisha Marekebisho ya Katiba, Taifa Stars Yalala Nyumbani..!

Posted on: July 13, 2013 - jomushi
Mkutano Mkuu TFF Wapitisha Marekebisho ya Katiba, Taifa Stars Yalala Nyumbani..!

MKUTANO Mkuu Maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliofanyika leo (Julai 13 mwaka huu) umepitisha marekebisho ya Katiba yake, hivyo mchakato wa uchaguzi…

Continue Reading....

Leodegar Tenga Asema Taifa Stars Imeiva Kupambana

Posted on: July 12, 2013 - jomushi
Leodegar Tenga Asema Taifa Stars Imeiva Kupambana

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema kikosi cha Taifa Stars sasa kina uwezo wa kushindana katika mashindano yoyote, kwani…

Continue Reading....

Uganda Cranes Yawasili Kuikabili Stars

Posted on: July 11, 2013 - jomushi
Uganda Cranes Yawasili Kuikabili Stars

TIMU ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam leo tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika…

Continue Reading....

Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ Kuwasili Kesho

Posted on: July 10, 2013 - jomushi
Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ Kuwasili Kesho

TIMU ya Taifa ya Uganda (The Cranes) inatarajiwa kuwasili nchini kesho (Julai 11 mwaka huu) tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari