Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 229

Category: Michezo

Airtel Raising Stars Wasichana Kupongezwa, Twiga Stars Kucheza na Zambia

Posted on: September 24, 2013September 24, 2013 - jomushi
Airtel Raising Stars Wasichana Kupongezwa, Twiga Stars Kucheza na Zambia

TIMU ya mpira wa miguu ya wasichana ya Airtel Raising Stars (ARS) ya Tanzania imeandaliwa hafla ya kuipongeza kwa kunyakua ubingwa katika mashindano ya Afrika…

Continue Reading....

Tanziania Mabingwa Mashindano ya Kimataifa Airtel Rising Stars

Posted on: September 24, 2013October 4, 2013 - jomushi
Tanziania Mabingwa  Mashindano ya Kimataifa Airtel Rising Stars

TIMU YA WASICHANA YA TANZANIA imeibuka mabigwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya kimataifa ya Airtel Rising Stars yaliyokuwa yanafanyika…

Continue Reading....

Simba na Mbeya City Zaingiza Mil. 123

Posted on: September 22, 2013 - jomushi
Simba na Mbeya City Zaingiza Mil. 123

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Mbeya City iliyochezwa jana (Septemba 21 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es…

Continue Reading....

Ilala Yaibwaga Mjini Magaribi Fainali Copa Coca-Cola

Posted on: September 14, 2013 - jomushi
Ilala Yaibwaga Mjini Magaribi Fainali Copa Coca-Cola

ILALA imepata tiketi ya kucheza fainali ya michuano ya Copa Coca-Cola kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 upande wa wavulana baada ya kuivua…

Continue Reading....

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF Yathibitisha Usajili wa Wachezaji 620

Posted on: September 13, 2013 - jomushi
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF Yathibitisha Usajili wa Wachezaji 620

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imethibitisha usajili wa wachezaji 620 kati ya 624 wa timu…

Continue Reading....

Tenga Aishukuru Kamati ya Ligi kwa Uchapakazi

Posted on: September 13, 2013October 4, 2013 - jomushi
Tenga Aishukuru Kamati ya Ligi kwa Uchapakazi

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga ameishukuru Kamati ya Ligi kwa usimamizi mzuri tangu ilipokabidhi Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari