Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 222

Category: Michezo

Malinzi Kuzinduwa Michuano ya Uhai 2013

Posted on: November 16, 2013 - jomushi
Malinzi Kuzinduwa Michuano ya Uhai 2013

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi atafungua rasmi michuano ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 (U20) kwa…

Continue Reading....

Kocha Mkuu Taifa Stars Awaita 32 Kupambana na Harambee Stars

Posted on: November 14, 2013 - jomushi
Kocha Mkuu Taifa Stars Awaita 32 Kupambana na Harambee Stars

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameunda kikosi cha wachezaji 32 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Kenya (Harambee Stars)…

Continue Reading....

Bodi ya Ligi Yaanza Kutoa Makali, Yavifungia Viwanja Saba, Wachezaji Wafungiwa…!

Posted on: November 12, 2013November 12, 2013 - jomushi
Bodi ya Ligi Yaanza Kutoa Makali, Yavifungia Viwanja Saba, Wachezaji Wafungiwa…!

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board) imefungia viwanja saba vilivyokuwa vikitumiwa na timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza…

Continue Reading....

CECAFA Wataja Waamuzi Kombe la Chalenji 2013

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
CECAFA Wataja Waamuzi Kombe la Chalenji 2013

BARAZA la Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limewataja waamuzi tisa na waamuzi wasaidizi tisa watakao chezesha Mashindano ya Kombe la CECAFA Chalenji.…

Continue Reading....

Usajili Dirisha dogo Ligi Kuu Kufunguliwa Nov 15

Posted on: November 10, 2013 - jomushi
Usajili Dirisha dogo Ligi Kuu Kufunguliwa Nov 15

USAJILI wa wachezaji kwa dirisha dogo kwa msimu wa 2013/2014 Tanzania Bara unafunguliwa Novemba 15 mwaka huu na utafungwa rasmi Desemba 15 mwaka huu.  …

Continue Reading....

Tanzanite Yaiaibisha Msumbiji, Yaipiga 15-1

Posted on: November 10, 2013 - jomushi
Tanzanite Yaiaibisha Msumbiji, Yaipiga 15-1

TIMU ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 20 (Tanzanite) imefuzu kucheza raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa jumla…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari