Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 221

Category: Michezo

Kilimanjaro Stars Kuagwa Kesho

Posted on: November 24, 2013 - jomushi
Kilimanjaro Stars Kuagwa Kesho

KIKOSI cha Kilimanjaro Stars kinaagwa kesho (Novemba 25 mwaka huu) tayari kwa safari ya Nairobi, Kenya kushiriki michuano ya Kombe la Chalenji inayoanza kutimua vumbi…

Continue Reading....

Rage Aigomea TFF, Akifananisha Kikao Kilichomsimamisha na cha Harusi

Posted on: November 24, 2013 - jomushi
Rage Aigomea TFF, Akifananisha Kikao Kilichomsimamisha na cha Harusi

Na Mwandishi Wetu, MWENYEKITI wa klabu ya soka ya Simba, Ismail Aden Rage ameligomea Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuitisha Mkutano Mkuu wa…

Continue Reading....

TFF Yaingilia Simba, Yamtaka Rage Aitishe Mkutano

Posted on: November 23, 2013 - jomushi
TFF Yaingilia Simba, Yamtaka Rage Aitishe Mkutano

MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage ameagizwa kuitisha Mkutano Mkuu wa Dharura wa klabu ndani ya siku 14 kuanzia sasa. Shirikisho la Mpira wa Miguu…

Continue Reading....

Jamal Malinzi Atangaza Kamati Ndogondogo za TFF

Posted on: November 23, 2013 - jomushi
Jamal Malinzi Atangaza Kamati Ndogondogo za TFF

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametangaza wajumbe wa kamati ndogongo (standing committees) wakati zile za haki (judicial organs) na…

Continue Reading....

Kikosi cha Zimbabwe Kutua Mchana Dar Kuikabili Taifa Stars

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Kikosi cha Zimbabwe Kutua Mchana Dar Kuikabili Taifa Stars

KIKOSI cha Zimbabwe kinawasili leo mchana (Novemba 18 mwaka huu) kuikabili Taifa Stars katika mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu…

Continue Reading....

Taifa Stars Sasa Kukipiga na Zimbabwe, Kiingilio Shs 5,000

Posted on: November 17, 2013 - jomushi
Taifa Stars Sasa Kukipiga na Zimbabwe, Kiingilio Shs 5,000

TAIFA Stars sasa inacheza na Zimbabwe mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)- FIFA Date itakayofanyika keshokutwa Jumanne (Novemba 19…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari