TIMU za Ligi Kuu za Ashanti United na JKT Ruvu Stars zinapambana Januari Mosi mwakani kati moja ya mechi za kujaribu matumizi ya tiketi za…
Continue Reading....Category: Michezo
Tiketi za Elektroniki Kutumika Leo Uwanja wa Chamazi Dar
MECHI ya kujaribu matumizi ya tiketi za elektroniki kati ya Azam na Ruvu Shooting inachezwa leo (Desemba 26 mwaka huu) saa 10 kamili jioni Uwanja…
Continue Reading....TFF Yatoa Rambirambi Msiba wa James Kisaka
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57) kilichotokea leo asubuhi (Desemba…
Continue Reading....Nani Mtani Jembe; Simba, Yanga Wavuna Mil 422/-
MECHI ya Nani Mtani Jembe kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Desemba 21 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Simba kuibuka…
Continue Reading....Tiketi za Elektroniki Kutumika Rasmi Desemba 26
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa mechi mbili za majaribio ya matumizi ya tiketi za elektroniki zitakazochezwa Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es…
Continue Reading....Kuzishuhudia Simba na Yanga Kwenye Nani Mtani Jembe Shs 5,000
KIINGILIO cha chini kwenye mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Desemba 21 mwaka huu) ni sh. 5,000. Kiingilio hicho ni…
Continue Reading....