Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 214

Category: Michezo

Wachezaji 9 Watakiwa Kujitetea kwa Kumpiga Mwamuzi

Posted on: February 6, 2014 - jomushi
Wachezaji 9 Watakiwa Kujitetea kwa Kumpiga Mwamuzi

WACHEZAJI tisa wa Kanembwa JKT pamoja na timu yao wanaolalamikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kumpiga mwamuzi Peter Mujaya wanatakiwa kujitetea…

Continue Reading....

TFF Yasitisha Matumizi ya Tiketi za elektroniki, Mtibwa Vs Simba…!

Posted on: February 4, 2014 - jomushi
TFF Yasitisha Matumizi ya Tiketi za elektroniki, Mtibwa Vs Simba…!

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye viwanja vyote vyenye huduma hiyo ili kutoa fursa ya kufanyika tathmini…

Continue Reading....

Mbunge Ruangwa Aanzisha Vilabu 102 vya Michezo

Posted on: February 4, 2014 - jomushi
Mbunge Ruangwa Aanzisha Vilabu 102 vya Michezo

Na Anna Nkinda – Maelezo, Ruangwa MBUNGE wa Jimbo la Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa ameanzisha vilabu 102 vya michezo kwa kuvipatia jezi na mipira ili kuhakikisha…

Continue Reading....

Shabiki Mbaroni kwa Kukutwa na Tiketi Bandia, Malinzi Atembelea Ruangwa

Posted on: February 3, 2014 - jomushi
Shabiki Mbaroni kwa Kukutwa na Tiketi Bandia, Malinzi Atembelea Ruangwa

MSHABIKI mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba…

Continue Reading....

TFF Yaadhimisha Miaka 50 FIFA, Yanga Vs Mbeya City Waingiza Mil 175

Posted on: February 3, 2014 - jomushi
TFF Yaadhimisha Miaka 50 FIFA, Yanga Vs Mbeya City Waingiza Mil 175

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litaadhimisha miaka 50 tangu lipate uanachama wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (TFF) kwa shughuli mbalimbili…

Continue Reading....

Tarimba Abbas, William Erio Waula TFF, Tiketi Elektroniki Kutathminiwa

Posted on: February 1, 2014 - jomushi
Tarimba Abbas, William Erio Waula TFF, Tiketi Elektroniki Kutathminiwa

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya uteuzi wa wajumbe kuunda kamati mbili za awali za haki, na kamati mbili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari