RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameunda kamati ya watu tisa kuratibu maadhimisho ya miaka 50 tangu TFF ilipojiunga na…
Continue Reading....Category: Michezo
Wagombea 27 Warejesha Fomu Uchaguzi TASWA
WAOMBAJI 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa…
Continue Reading....TFF Yamtema Poulsen, Wavunja Mkataba, Yanga Waondolewa Taifa Stars
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote…
Continue Reading....Twiga Stars Imewiva, Shepolopolo Yawasili Dar
WAKATI Zambia (Shepolopolo) imewasili leo Februari 27 mwaka huu, Twiga Stars imesema mazoezi yamewaingia barabara tayari kwa mechi dhidi ya Wazambia hao itakayochezwa kesho (Februari…
Continue Reading....TFF Yataka Taarifa za Klabu Zote Tanzania, Ligi Kuu…!
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimewaagiza wanachama wake- vyama vya mpira wa miguu vya mikoa kuwapatia orodha ya klabu zote za mpira wa…
Continue Reading....TFF Yawaita 22 Kuunda Kikosi Kuikabili Namibia
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi ya Namibia…
Continue Reading....