Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 208

Category: Michezo

Man United Vs Man City leo Jumanne 24/3/2014

Posted on: March 24, 2014April 16, 2014 - admin
Man United Vs Man City leo Jumanne 24/3/2014

David Moyes amejipunguzia presha baada ya kushinda mara mbili lakini timu yake ilichapwa na Man city ndani ya Etihad Stadium mwanzoni mwa msimu huu. Ila…

Continue Reading....

TFF, CRDB Waunda Kikosi Kushungulikia Tiketi za Kielektroniki

Posted on: March 21, 2014 - jomushi
TFF, CRDB Waunda Kikosi Kushungulikia Tiketi za Kielektroniki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB zimeunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kushughulikia matumizi ya tiketi za elektroniki…

Continue Reading....

Kiongozi UVCCM Awasaidia Vifaa Mabondia Kinondoni

Posted on: March 21, 2014 - jomushi
Kiongozi UVCCM Awasaidia Vifaa Mabondia Kinondoni

Na Mwandishi Wetu   MGOMBEA wa nafasi ya ukatibu UVCCM, Jimbo la Kinondoni, Rehema Mbegu leo amewazawadia mabondia wa kambi ya Bigright ya Mwananyamala vifaa…

Continue Reading....

Yanga Yapigwa Faini ya Mil 20 kwa Vurugu, Simba Nayo Mil 5

Posted on: March 20, 2014 - jomushi
Yanga Yapigwa Faini ya Mil 20 kwa Vurugu, Simba Nayo Mil 5

  KLABU za Yanga na Simba zimeagizwa kulipa jumla ya sh. milioni 25 kutokana na uharibifu wa viti na vurugu zilizofanywa na washabiki wao kwenye…

Continue Reading....

TFF Yamteuwa Salum Madadi Mkurugenzi Mpya wa Ufundi

Posted on: March 20, 2014April 16, 2014 - jomushi
TFF Yamteuwa Salum Madadi Mkurugenzi Mpya wa Ufundi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi. Uteuzi huo umefanya na Kamati ya Utendaji katika kikao…

Continue Reading....

Wachezaji 31 Wateuliwa Kujiunga Ngorongoro Heroes, Yanga Azam Kuvaana…!

Posted on: March 18, 2014April 16, 2014 - jomushi
Wachezaji 31 Wateuliwa Kujiunga Ngorongoro Heroes, Yanga Azam Kuvaana…!

WACHEZAJI 31 wameteuliwa kujiunga na timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kwa ajili ya michuano ya Afrika ambayo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari