Category: Michezo
TFF Yaanza Kuendeleza Uwanja wa Tanga
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kuendeleza uwanja wake uliopo eneo la Mnyanjani jijini Tanga. Shughuli inayoendelea kwa sasa ni…
Continue Reading....Mashabiki wa Manchester United wamlaumu Sir Alex Ferguson baada ya kushindwa na Man City 3-0
Mashabiki wa Manchester United wenye hasira walimgeukia Sir Alex Ferguson baada ya kipigo cha bao 3-o kutoka kwa maadui wao wa Manchester United. Man City…
Continue Reading....Timu ya Watoto wa Mitaani Tanzania Yaenda Brazil
TIMU ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kutoka Kituo cha Mwanza imeondoka leo (Machi 26 mwaka huu) kwenda Brazil kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia…
Continue Reading....Mabondia ‘Marasta’ Kaseba na Mashali Kuzichapa
MIAMBA wawili wa mchezo wa ngumi wenye nywele zilizotengenezwa kwa mtindo wa rasta, ambayo mara nyingi huwa ndio gumzo la watu mitaani hususani wapenda mchezo…
Continue Reading....Leo ni Leo, Je Manchester United Wataweza Kulipiza Kisasi?
Manchester City wananafasi ya kuonyesha kuwa wanastahili kuutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza na kuziba nafasi iliyopo kati yao na Chelsea. Manchester United walichapwa…
Continue Reading....