Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 202

Category: Michezo

Leodegar Tenga Apewa ‘Dili’ TFF, Ni la Kuendeleza Soka…!

Posted on: May 6, 2014 - jomushi
Post Tags: TFF
Leodegar Tenga Apewa ‘Dili’ TFF, Ni la Kuendeleza Soka…!

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeazimia kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania (TFF Development Trust Fund). Uamuzi wa kuanzisha mfuko…

Continue Reading....

Ligi Kuu Msimu wa 2015/2016 Kushindanisha Timu 16

Posted on: May 4, 2014 - jomushi
Ligi Kuu Msimu wa 2015/2016 Kushindanisha Timu 16

LIGI Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa. Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji…

Continue Reading....

AZAM FC Wampelekea Rais Kikwete Kombe…!

Posted on: May 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Azam FC, featured, Mabingwa wapya Bara
AZAM FC Wampelekea Rais Kikwete Kombe…!

Na dev.kisakuzi.com, Dar es Salaam TIMU ya Mpira wa Miguu ya Azam FC ambao ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania…

Continue Reading....

Wakili Ogunde Kuchunguza Matukio ya Usajili Ndani ya Kambi ya Stars

Posted on: May 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Usajili Bara
Wakili Ogunde Kuchunguza Matukio ya Usajili Ndani ya Kambi ya Stars

KUTOKANA na tukio lililotokea jana (Aprili 30 mwaka huu) kwenye kambi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) iliyopo Tukuyu mkoani Mbeya likihusisha usajili wa baadhi…

Continue Reading....

Rasimu ya Katiba ya Simba Yamaliza Kukaguliwa na Serikali

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Rasimu ya Katiba ya Simba Yamaliza Kukaguliwa na Serikali

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na…

Continue Reading....

Timu ya Taifa Malawi Kuwasili Dar Mai Mosi Kuivaa Taifa Stars

Posted on: April 29, 2014 - jomushi
Timu ya Taifa Malawi Kuwasili Dar Mai Mosi Kuivaa Taifa Stars

TIMU ya Taifa ya Malawi (Flames) inatarajiwa kuwasili nchini Mei 1 mwaka huu kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Mei…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari