RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho Julai 17 mwaka huu kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu.…
Continue Reading....Category: Michezo
Afrika Kusini Watua Dar Kuivaa Serengeti Boys
AFRIKA Kusini (Amajimbos) imewasili nchini kuikabili Tanzania (Serengeti Boys) katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri…
Continue Reading....Tanzania Yaipongeza Ujerumani Kutwaa Kombe la Dunia
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Ujerumani kwa kutwaa Kombe la Dunia mwaka huu. Rais Kikwete ametoa pongezi hizo kwa Balozi mpya wa Shirikisho la Jamhuri…
Continue Reading....FIFA Kuwanoa Waamuzi 3o Dar, Waamuzi Mchezo wa Serengeti Boys Watua
SEMINA na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa waamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na baadhi ya wale…
Continue Reading....Ulimwengu, Samata Kuongeza Nguvu Taifa Stars
WASHAMBULIAJI Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka…
Continue Reading....Ujerumani Mabingwa Kombe la Dunia 2014
TIMU ya Taifa ya Ujerumani imetwaa kombe la dunia. Ujerumani imetwaa kombe hilo jana baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Argetina 1-0. Mchezaji wa…
Continue Reading....