BASI la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekamatwa na madalali kwa amri ya mahakama kutokana na deni la sh milioni 140 ambalo tunadaiwa…
Continue Reading....Category: Michezo
TFF Yasema Haitambui Mabadiliko ya Uongozi Coastal Union
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitambui mabadiliko ya uongozi ndani ya Coastal Union yanayodaiwa kufanywa na mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika…
Continue Reading....Que Bac Mabingwa Mbagala Cup, Watwaa Mbuzi na Jezi
TIMU ya Vijana ya Mpira wa Miguu ya Que Bac ya Mbagala Kipati jijini Dar es Salaam jana imeibuka bingwa wa Mashindano ya Mbagala Cup…
Continue Reading....Maofisa wa FIFA Kutua Tanzania Kukagua Soka
MAOFISA wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wanawasili nchini kesho (Agosti 10 mwaka huu) kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini. Ujumbe huo…
Continue Reading....CCM Wakwamisha Ukarabati wa Kisasa Uwanja wa Namfua Singida
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala aaizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo. Na Hillary…
Continue Reading....Rambirambi Msiba wa Makamu wa Rais FIFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shrikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA),…
Continue Reading....