Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 17

Category: Michezo

Shangwe Uganda Kufurahia Kufuzu AFCON 2017

Posted on: September 6, 2016 - Yohana Chance
Shangwe Uganda Kufurahia Kufuzu AFCON 2017

Sherehe zimekuwa zikiendelea kote nchini Uganda kufuatia timu ya taifa ya nchi hiyo kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika baada ya kusubiri…

Continue Reading....

StarTimes Kurusha Michuano ya Kufuzu Kombe la Dunia

Posted on: September 5, 2016 - Yohana Chance
StarTimes Kurusha Michuano ya Kufuzu Kombe la Dunia

MATAIFA 54 ya Barani Ulaya siku ya Jumapili hii yatashuka dimbani katika harakati za kuwania nafasi ya kufuzu ili kuungana na mwenyeji nchi ya Urusi…

Continue Reading....

Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016…!

Posted on: September 3, 2016 - jomushi
Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016…!

   Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward ndiye huyu hapa.  Warembo hao wakiserebuka wakati wakijitambulisha.  Wadau wakifuatilia kwa karibu shindano hilo.   Washiriki wa shindano hilo…

Continue Reading....

Kuhusu Kessy Kutua Yanga Hali Bado Sio Swali

Posted on: September 3, 2016 - Yohana Chance
Kuhusu Kessy Kutua Yanga Hali Bado Sio Swali

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji iimeahirisha kikao chake kilichokuwa kikae kesho Jumapili Septemba 4, 2016 kutoa hukumu ya shauri la mchezaji Hassan…

Continue Reading....

Huu Mwaka Lazima Mmoja Aitwe Mchawi wa Mwenzake

Posted on: September 2, 2016 - Yohana Chance
Huu Mwaka Lazima Mmoja Aitwe Mchawi wa Mwenzake

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amemwacha nje kiungo wa kati wa timu hiyo yaya Toure katika kikosi chake cha kombe la vilabu bingwa Ulaya…

Continue Reading....

Ligi Kuu Bongo Kuendelea Wikiendi Hii

Posted on: September 2, 2016 - Yohana Chance
Ligi Kuu Bongo Kuendelea Wikiendi Hii

Raundi ya tatu ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Septemba 3, 2016 kwa michezo minne wakati kwa Jumapili Septemba 4,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari