Celtic walipokezwa kichapo kibaya zaidi katika mashindano ya Ulaya Jumanne usiku baada ya kuchapwa mabao 7-0 na Barcelona uwanjani Camp Nou. Mshambuliaji Lionel Messi, raia…
Continue Reading....Category: Michezo
Semina Kubwa ya Mchezo wa Karate Yaanza Jijini Dar
Anafundisha kwa mifano! Shihan Okuma akishambuliwa na Jerome Sensei kama sehemu ya maelekezo katika semina hiyo Na Daniel Mbega SEMINA kubwa ya Shotokan Karate kwa…
Continue Reading....Timu za Taswa SC Zatamba Bonanza la Waandishi wa Habari Arusha
Nahodha wa timu ya Netiboli ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Tanzania Sports Writers Association Sports Club (Taswa SC)Zuhura Abdulnoor na mchezaji mkongwe wa…
Continue Reading....Kaseja Akumbukwa Soka la Ufukweni
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Ufukweni, John Mwansasu amemuita Kipa wa Mbeya City ya Mbeya, Juma Kaseja Juma kuongeza…
Continue Reading....Ratiba ya Ligi Daraja la Pili Sasa Hadharani
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Poli ((SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu.…
Continue Reading....Simba na Azam Kukutana Septemba 21
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumatano Septemba 21, 2016 badala…
Continue Reading....