Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani Afrika,ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne. Dangote ambaye ni raia…
Continue Reading....Category: Michezo
Yaya Toure, Guardiola Wakinukisha Tena City
Meneja wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema kuwa hatomchezesha tena Yaya Toure hadi atakapoomba msamaha kwa klabu hiyo na wachezaji wenzake kutokana na…
Continue Reading....Kilimanjaro Queens Nouma Sana, Yatwaa Ubingwa
Haikuwa ubashiri, badala yake ilikuwa ni mipango thabiti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha kwamba inavuna ushindi na kuwa mabingwa wa Kombe…
Continue Reading....Arsenal, Chelsea na Liverpool Watembeza Kichapo
Lucas Perez alifungia klabu ya Arsenal mabao yake ya kwanza na kuwasaidia Gunnerskupata ushindi mkubwa dhidi ya Nottingham Forest na kufika raundi ya nne Kombe…
Continue Reading....Mpunga Wazidi Kumiminika Ligi Kuu Tanzania Bara
Benki ya Diamond Trust (DTB) jana imesaini kuingia mkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) kwa…
Continue Reading....