Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 3

Category: Burudani

Rais mstaafu Kikwete azindua Tamasha la ZIFF 2017 Zanzibar, Atunukiwa tuzo

Posted on: July 9, 2017 - jomushi
Rais mstaafu Kikwete azindua Tamasha la ZIFF 2017 Zanzibar, Atunukiwa tuzo

  RAIS Mstaafu wa awamu ya nne katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Jumamosi usiku wa Julai 8,2017, amezindua…

Continue Reading....

WASHIRIKI SHINDANO LA BONGO STYLE WAPEWA SEMINA…!

Posted on: June 30, 2017 - jomushi
WASHIRIKI SHINDANO LA BONGO STYLE WAPEWA SEMINA…!

  Bi. Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa  ‘Bongo Style Competition’  2017, kuhusiana…

Continue Reading....

Tamasha la 20, ZIFF Kutoka Kivingine

Posted on: June 30, 2017June 30, 2017 - jomushi
Post Tags: Tamasha la ZIFF
Tamasha la 20, ZIFF Kutoka Kivingine

  UONGOZI na waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF) umewaomba wadau wa tasnia ya filamu na sanaa nchini kushiriki…

Continue Reading....

UMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO

Posted on: May 29, 2017 - jomushi
UMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO

  Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam Ndg Edward Otieno akizungumza wakati wa ufunguzi wa  UMISSETA Mkoa wa…

Continue Reading....

JKT Makao Makuu Mabingwa Kombe la Ngumi la Mstahiki Meya

Posted on: May 28, 2017 - jomushi
JKT Makao Makuu Mabingwa Kombe la Ngumi la Mstahiki Meya

  NA CHRISTINA MWAGALA MASHINDANO ya ngumi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita yamemalizika jana na Timu ya JKT Makao…

Continue Reading....

Timu ya Azania Yawasili Baada ya Kushiriki Mashindano ya Standard Chartered Uingereza

Posted on: May 24, 2017 - jomushi
Timu ya Azania Yawasili Baada ya Kushiriki Mashindano ya Standard Chartered Uingereza

  MASHINDANO ya kombe la Standard Chartered yaliyokuwa yanafanyika nchini Uingereza yamemalizika na kombe hilo kutwaliwa na timu ya nchini Singapore. Akizungumza na waandishi wa habari…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari