Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 173

Category: Burudani

Ngoma afrika kuwasindikiza wa-cameroon siku ya taifa lao

Posted on: May 24, 2012May 24, 2012 - jomushi
Ngoma afrika  kuwasindikiza wa-cameroon siku ya taifa lao

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza katika sherehe ya…

Continue Reading....

Redds Miss Tanzania Chang’ombe maandalizi yaanza

Posted on: May 23, 2012 - jomushi
Redds Miss Tanzania Chang’ombe maandalizi yaanza

MASHINDANO ya kuwania taji la Redds Miss Tanzania 2012 yanazidi kupamba moto kwa ngazi za vitongoji nchini kote huku vitongoji kadhaa vikiwa tayari vimesha fanya…

Continue Reading....

Kamati ya Miss Tanzania yawatembelea warembo Redds Miss Kurasini

Posted on: May 22, 2012 - jomushi
Kamati ya Miss Tanzania yawatembelea warembo Redds Miss Kurasini

Hashim Lundenga aliwataka warembo hao kujiheshimu maana urembo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na warembo wengi wanaojiheshimu na kuwa na tabia njema katika jamii…

Continue Reading....

Msondongoma kuwarusha mashabiki uzinduzi wa Emirete Masasi

Posted on: May 22, 2012May 22, 2012 - jomushi
Msondongoma kuwarusha mashabiki uzinduzi wa Emirete Masasi

Na Mwandishi Wetu BENDI Kongwe ya Msondo ngoma ya jijini Dar es Salaam inatalajia kufanya uzinduzi wa ukumbi mpya wa kisasa wa burudani wa Emirate…

Continue Reading....

14 wadhamini Redd’s Miss Kurasini 2012

Posted on: May 21, 2012 - jomushi
14 wadhamini Redd’s Miss Kurasini 2012

SHINDANO la Redds Miss Kurasini 2012, ambalo linataraji kufanyika Mei 25 mwaka huu katika ukumbi wa Equator Grill, yamezidi kupata wadhamini watakaofanikisha shindano hilo. Akizungumza…

Continue Reading....

Ayisha Nagudi kuiwakilisha Uganda Miss East Africa 2012

Posted on: May 20, 2012 - jomushi
Ayisha Nagudi kuiwakilisha Uganda Miss East Africa 2012

Na Mwandishi Wetu MREMBO aliyetangazwa mwishoni mwa wiki, Miss Ayisha Nagudi (23) kutoka nchini Uganda anatarajiwa kuiwakilisha nchi yake katika fainali za mashindano ya Urembo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari