Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 170

Category: Burudani

Jamhuri ya Ireland nje!

Posted on: June 15, 2012June 15, 2012 - jomushi
Jamhuri ya Ireland nje!

FERNANDO Torres alifanikiwa kutumbukiza magoli mawili wavuni katika mechi ambayo Uhispania kwa urahisi ilifanikiwa kuilazimisha Jamhuri ya Ireland kukusanya virago na kuondoka katika mashindano ya…

Continue Reading....

Waamuzi kozi ya FIFA kupimwa ufahamu wa alama

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Waamuzi kozi ya FIFA kupimwa ufahamu wa alama

WAAMUZI 54 wanaoshiriki kozi ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) iliyoanza Juni 11 mwaka huu, kesho (Juni 14 mwaka huu) watahamia Uwanja…

Continue Reading....

Kaseba uso kwa uso na Cheka uwanja mpya wa taifa siku ya Sabasaba

Posted on: June 13, 2012 - jomushi
Kaseba uso kwa uso na Cheka  uwanja mpya wa taifa siku ya Sabasaba

Mabondia, Francis Cheka (kushoto) na Japhert Kaseba, wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao unaotarajia kufanyika Siku ya tarehe saba mwezi wa saba katika…

Continue Reading....

Thomas Mashauri kutetea ubingwa wake June 24 Friends Corner Manzese

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Thomas Mashauri kutetea ubingwa wake  June 24 Friends Corner Manzese

BONDIA wa ngumi za kulipwa kutoka kyela mkoani mbeya MAISHA SAMSON ameahidi kumtwanga mpinzani wake THOMAS MASHALI kwa knock-out ya raundi ya 9 ktk pambano…

Continue Reading....

Mashindano kusaka vipaji vya ngumi kuanza Juni 15 Dar

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Mashindano kusaka vipaji vya ngumi kuanza Juni 15 Dar

MASHINDANO ya kumi bora ya mchezo wa masumbwi yanatarajia kufanyika June 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa…

Continue Reading....

Polisi Mara yaendelea kuongoza ligi ya Taifa Musoma

Posted on: June 11, 2012June 11, 2012 - jomushi
Polisi Mara yaendelea kuongoza ligi ya Taifa Musoma

POLISI Mara wameendelea kuongoza ligi ya Taifa kituo cha Musoma kwa kuwafunga RED COST 1-0 nakufikisha POITI 11 huku TESSEMA YA TEMEKE ikibanwa mbavu na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari