Viwanda Nchini Tanzania Kufanyiwa Sensa, Wadadisi Waandaliwa

Na Veronica Kazimoto, Morogoro WAMILIKI wa viwanda nchini wameagizwa kutoa taarifa sahihi na ushirikiano wa kutosha wakati wadadisi watakapofika katika ofisi zao kuwahoji kwa ajili ya kupata takwimu za viwanda vyao. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wadadisi na wasimamisi wa zoezi la Sensa ya Viwanda iliyofanyika mkoani Mororgoro, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene (Mb) amesema …

Lake Turkana Wind Power Secures €623 Million

LIKE Turkana Wind Power Project (LTWP) has today marked a significant milestone with the loan signing of €623 million (Ksh 76 billion), making it the largest private investment in Kenya’s history. Potentially Africa’s largest single wind power project to be constructed, has attracted financial support from European Investment Bank (EIB), the Standard Bank of South Africa, Nedbank, FMO, Proparco, East …

IPS Kukuza ujasiliamali Katika Mawasiliano ya Simu Burundi, Uganda na Tanzania

  SHIRIKA la Kuhamasisha Viwanda (IPS), chombo na silaha ya maendeleo ya viwanda chini ya mfuko wa maendeleo ya uchumi wa Aga Khan (AKFED), jana wametangaza kuingia katika soko la mawasiliano la Afrika Mashariki chini ya kampuni iitwayo SMART.  Jina la kampuni ni matokeo ya kura zilizopigwa Afrika Mashariki katika kampeni ya Uvumbuzi. Kuzinduliwa kwa kampuni hiyo kutaisaidia AKFED kukuza …

Nyumba Nzuri Inapangishwa Eneo la Mbezi Beach Dar

Nyumba yenye vyumba vitatu kikiwemo Master Bedroom inapangishwa Maeneo ya Mbezi Beach, Barabara ya Muafaka nyuma ya Art Gallery almaarufu kama Jogoo. Nyumba hii inauzio pamoja na geti. Kama utapenda kupangisha unaweza kupiga namba 0754-367995 , 0777-967995 na 0763-114544 Email:  darch@iafrica.com, samalbi@yahoo.com Huu ni monekano wa Sitting room. Na hapa ni Dinning room.

African Renewable Energy Fund (AREF) Launches With $100m Committed Capital

THE African Renewable Energy Fund (AREF), a dedicated renewable energy fund focused on sub-Saharan Africa closed today with USD100 million of committed capital to support small to medium scale independent power producers (IPPs). The fund which will be headquartered in Nairobi, is targeting a final close of USD200 million within the next 12 months to be invested in grid-connected development …

LG Yazinduwa Jokofu Linalohifadhi Baridi Muda Mrefu

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.    Mwakilishi wa kampuni ya LG Tanzania, Carolyne Yesse akitoa maelezo.  Waandishi wa …