DAR ES SALAAM inakuwa mji wa 475 kujiunga na mtandao unaokuwa wa Uber duniani. Kwa uzinduzi wa Uber, jukwaa la ubunifu wa kiteknolojia, Dar es Salaam inaungana na orodha ya vituo maarufu vya usafiri barani Afrika. Kufuatia mafanikio ya Uber katika nchi nyingi, Uber inayo furaha kuzindua jukwa la ushirika la abiria kwa watu wa Dar es Salaam. Jukwaa la …
NMB Yafanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa Jijini Dar es Salaam
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemarker (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa 16 wa benki hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas. Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas (kulia), akizungumza na wanahabari. Wanahabari wakichukua …
TRA Kugawa Bure Mashine za EFD kwa Wafanyabiashara Wadogo Dar
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza utaratibu wa kuanza kuwagawia bure Wafanyabiashara wadogo na wakati Mashine za EFD kwa awamu. Akitoa taarifa hiyo kwa umma Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfayo Kidata alisema utaratibu wa kutoa mashine hizo kwa Wafanyabiashara wa Kati na Wadogo litafanyika kwa utaratibu waliouweka. Alisema katika awamu ya kwanza TRA itaanza kugawa Mashine …
Tanzania Still Facing Inadequacy Hotels in the Southern Circuit
WITH the strategies to increase a number of tourists arrivals, Tanzania is still facing lower number of hotels in the Southern circuit. Speaking with the journalists in Dar es Salaam, Mr. Andrea Guzzoni, Country Manager of Jovago Tanzania explained that, “There is a shortage of hotels ranging from 4-5 star hotels in the regions of Iringa, Mbeya, Mtwara, Lindi, Katavi, …
TTCL Yazaliwa Upya, Yazinduwa Nembo Mpya na 4G LTE
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imefanya mabadiliko ya nembo yake pamoja na kuzinduwa huduma ya mtandao wa kisasa wa 4G LTE ikiwa ni muendelezo wa mpango wa kufanya mabadiliko ya kibiashara kwa kampuni hiyo. Nembo hiyo mpya ya TTCL na huduma ya 4G LTE vimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa …