Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Banda kuomboleza…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
The great Kanumba afariki dunia
Na Mwandishi Wetu MSANII maarufu wa sanaa ya kuigiza nchini Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia. Taarifa zinasema Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo alipokuwa…
Continue Reading....Rais Kikwete ataja majina ya wajumbe Tume ya mabadiliko ya Katiba
Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete leo ametaja majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, ambao wataendesha mchakato wa kuelekea kupatikana kwa…
Continue Reading....Rais Bingu wa Mutharika afariki dunia
RAIS wa nchi ya Malawi Bingu wa Mutharika amefariki dunia baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo, akiwa na miaka 78. Taarifa kutoka katika Serikali…
Continue Reading....Uasilia wa Jiji la Dar unavyotoweka taratibu
Kuibuka kwa majengo mapya huku mtindo wa kuvunja yale ya asili kunaibadilisha Dar es Salaam na kila uchao kuonekana mpya. Changamoto iliyopo ni kufikiria na…
Continue Reading....