Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo (kushoto) akiangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na kutupwa maeneo tofauti. Wapi kushoto ni Kamanda wa Polisi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TGNP yaitaka Serikali kuwawajibisha mawaziri na watendaji waliofuja fedha
Na Mwandishi Wetu MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imeitaka Serikali kuwawajibisha mara moja mawaziri, manaibu waziri na watendaji wakuu wa Serikali na mashirika ya umma…
Continue Reading....Mkutano Mkuu EAC kujadili maombi ya Sudan Kusini
Na Nicodemus Ikonko, EANA WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana Arusha, Tanzania, Jumamosi, Aprili 28, katika mkutano maalum utakaojadili…
Continue Reading....Mila na desturi zakwamisha chanjo Arusha
JUMLA ya watoto 20,500 inadaiwa hawajapewa chanjo kati ya mwaka 2009 hadi 2011 huku wazazi wengi wakionekana kukumbatia mila potofu kuwa chanjo ina madhara kwa…
Continue Reading....UVCCM Arusha wasema waliomtuhumu Millya ni mamluki
Na Mwandishi Wetu, Arusha JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa CCM mkoani Arusha umesema baadhi ya wanachama waliojitokeza na kumtuhumu aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja huo…
Continue Reading....