KWA kutambua mchango na kazi kubwa ya akina mama wote nchini Tanzania, na popote ulimwenguni natumia nafasi hii kumpongeza mama yangu Mecktilda Lutabana Mushi kwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Pinda atoboa siri kutoswa mawaziri
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameeleza sababu zilizomfanya Rais Jakaya Kikwete, kulivunja Baraza la Mawaziri na kulisuka upya kuwa kunalenga kuleta utamaduni mpya wa matumizi ya…
Continue Reading....Kadi za CHADEMA zagombewa Same
Na Tumainiel Seria KADI za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana ziligombewa na wananchi wa Wilaya ya Same wanaohudhuria mikutano ya chama hicho kwa…
Continue Reading....Polisi wamtwanga risasi ‘jambazi’
Na Thomas Dominick wa Binda News-Musoma MTU mmoja anayejulikana kwa jina la Duke Mkama (27) Mkazi wa Kijiji cha Katario, Tarafa ya Makongoro, Musoma Vijijini…
Continue Reading....Wataka mawaziri wafilisiwe
Sasa kampeni inapigwa ili mali za mawaziri waliofutwa kazi zifilisiwa kama watakutwa na hatia mahakamani. Huo ni wito wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha…
Continue Reading....Kafulila: Nikishindwa kesi nitahamia chama kingine
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR Mageuzi), David Kafulila, amesema yuko tayari kukihama chama chake na kujiunga na chama kingine ikiwa atashindwa kesi ya kupinga kuvuliwa…
Continue Reading....