Na Mwandishi Maalumu, Washington TANZANIA itakua moja ya nchi za mwanzo barani Afrika, kunufaika na mpango wa pamoja wa Kilimo kwa nia ya kuongeza na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mbunge wa Mufindi Kusini, apata ajali, alazwa
MBUNGE amepata ajali leo na amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi. Hata hivyo taarifa zinasema hali yake kwa sasa inaendelea vizuri…
Continue Reading....CCM wameteka Mchakato wa Katiba-Chadema
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeijia juu Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) kwa kitendo cha kuteka mchakato wa katiba mpya kabla ya…
Continue Reading....CCM champuuza Mbunge Shibuda
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempuuza Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, kufuatia kauli yake ya kudai kuwa atagombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu…
Continue Reading....Ikulu yampiga stop mmiliki wa Moses Nursery
SIKU chache zilizopita, Mkurugenzi wa Shule ya Chekechea ya Moses Nursery ya Yombo Vituka, Dar es Salaam, Moses Kabambara amekuwa anasambaza kadi kwa watu binafsi,…
Continue Reading....Ikulu yamkumbuka Patrick Mafisango
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya Simba…
Continue Reading....