Sekta binafsi nchini kwa kushirikiana na watu wa Marekani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID) wamekubalina kuendeleza ukuaji wa kilimo nchini kwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Tunalaani mauaji ya wazee kwa imani za kishirikina
Tangu jana tumekuwa tunaadika habari maalum kuhusu mauaji ya vikongwe mkoani Geita. Habari hiyo imejikita katika tukio la hivi karibuni kabisa la Mei 10, mwaka…
Continue Reading....Wabunge EAC wataka vikwanzo vya biashara ving’olewe
Na Mwandishi wa EANA, Arusha BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetoa changamoto kwa nchi tano wanachama wa jumuiya hiyo kuongeza kasi ya kuviondoa…
Continue Reading....Ajali za barabarani zapungua mkoani Kilimanjaro
Na Mwandishi Wetu, Moshi MATUKIO ya ajali za barabarani katika Mkoa wa Kilimanjaro yamepungua kutoka 392 kwa mwezi Oktoba hadi Desemba 2011 na kufikia matukio…
Continue Reading....Madereva wa bodaboda wapewa somo
Na Shomari Binda wa Binda News Musoma MADEREVA wa pikipiki zinazobeba abiria maarufu kama bodaboda mjini Musoma wametakiwa kuwa makini na kuzingatia sheria za usalama…
Continue Reading....