Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 940

Category: Habari za Nyumbani

Vita dhidi ya saratani ya matiti ni yetu sote

Posted on: June 5, 2012June 5, 2012 - jomushi
Vita dhidi ya saratani ya matiti ni yetu sote

NI MFANO mzuri wa kuigwa nchini Tanzania kama kujali na kuwapa moyo kina mama walioathirika na saratani ya maziwa kwani pia wanahitaji kuthaminiwa, kutoa elimu…

Continue Reading....

Waratibu wa Sensa ya watu na makazi 2012 watakiwa kusimamia fedha na rasilimali zilizotolewa

Posted on: June 5, 2012June 5, 2012 - jomushi
Waratibu wa Sensa ya watu na makazi 2012 watakiwa kusimamia fedha na rasilimali zilizotolewa

IKIWA imebaki miezi michache kabla ya kuanza kwa zoezi la Sensa ya watu na makazi nchini serikali imewataka waratibu wa zoezi hilo kuhakikisha kuwa wanasimamia…

Continue Reading....

Endrew Laiser ajitosa Uenyekiti (UVCCM) Musoma

Posted on: June 4, 2012 - jomushi
Endrew  Laiser  ajitosa  Uenyekiti (UVCCM) Musoma

MJUMBE wa Baraza la umoja wa vijana wa CCM Mjini Musoma (UVCCM) na mweka hazina wa Umoja huo Endrew Simon Laiser amejitosa kuwania nafasi ya…

Continue Reading....

Majambazi wavamia wachimba dhahabu na kuua watano

Posted on: June 4, 2012June 4, 2012 - jomushi
Majambazi wavamia wachimba dhahabu na kuua  watano

Na mwandishi wetu Musoma WATU wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamewavamia wachimbaji wadogo wa dhahabu katika machimbo ya Magunga Buhemba Wilaya ya Musoma Vijijini na kuua…

Continue Reading....

Wanakijiji wailalamikia Serikali Kuu

Posted on: June 3, 2012 - jomushi
Wanakijiji  wailalamikia Serikali Kuu

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mkambarani Morogoro Vijijini, wameilalamikia Serikali Kuu na halmashauri ya Wilaya kwa kumuingiza mwekezaji kutoka Korea katika kijiji jirani cha Pangawe na…

Continue Reading....

Dk Bilal azindua Maadhimisho ya Siku ya Mazingira

Posted on: June 3, 2012 - jomushi
Dk Bilal azindua Maadhimisho ya Siku ya Mazingira

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari