Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kulia), akizungumza na wajumbe wa baraza la ardhi wa wilaya hiyo Dar es Salaam juzi, wakati wakipeana mikakati ya kazi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya migogoro ya ardhi. Mkutano ukiendelea. DC Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza hilo. Dotto Mwaibale WAJUMBE wa Baraza la …
Rais Dk Magufuli Azungumza na Mabohora Duniani…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Oktoba 08, 2016 amehutubia katika tamasha la madhehebu ya Bohora ambayo yanafanya maadhimisho ya dunia ya sikukuu ya mwaka mpya wa Kiislam Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yamewaleta nchini wafuasi zaidi ya 30,000 kutoka nchi mbalimbali duniani na kuongozwa na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora …
Mjeruhiwa Macho na Scorpion Amliza Paul Makonda…!
Kijana Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho na Salumu Henjelewe maarufu kama Scorpion (katikati), akisaidiwa na ndugu zake wakati akiingia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kabla ya …
Wafanyabiashara Congo Waipa Kongolee Serikali ya Tanzania
Na Frank Shija, MAELEZO WAFANYABIASHARA kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wafurahishwa na hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuondoa vikwazo vya usafirishaji wa mizigo kupitia Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa na Rais wa Wafanyabiashara wa Congo waishio nchini Tanzania Bw. Sumaili K. Edward alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kurejea kwao na kutumia Bandari …
Waziri Mbarawa Awafuata TANROADS, Atoa Maagizo…!
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameuagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kuboresha Idara ya Mipango na Usanifu katika wakala huo ili kupata matokeo mazuri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini. Prof. Mbarawa ameutaka wakala huo kuboresha kanuni zinazosimamia aina ya vyombo vya moto vinavyotumia barabara zote nchini ikiwemo ili kuweza kusaidia miundombinu hiyo kudumu …
Mkuu wa Mkoa Mwanza Awafunda Vijana UVCCM Nyamagana
Mongela amewataka vijana kubuni njia mbalimbali halali za kuwaingizia kipato ikiwemo ujasiriamali badala ya kukaa bila kazi huku wakijivunia kuwa kwenye vyama vya siasa. Amesema ni vyema wanaoingia kwenye siasa wakahakikisha wana shuguli za kufanya ambapo amewasihi wajasiriamali wakiwemo Machinga kuwa tayari kufanya biashara zao katika maeneo yaliyoainishwa na kwamba watakaotii hilo, watanufaika moja kwa moja …