PASADA Yaomba Bajeti wa Waathirika na Virusi vya UKIMWI

  SERIKALI imeombwa kutengeneza bajeti ya kusaidia taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na kusaidia watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ikiwa ndio njia ya kuhakikisha huduma kwa waathirika hao zinaendelea kuimarika. Imeelezwa kuwa ingawa serikali ndiyo inayotoa dawa za kufubaza makali ya UKIMWI ARVs, haitengenezi bajeti kwa ajili ya wafanyakazi wanaohudumia waathirika kisaikolojia na kitiba.   Hoja hiyo imetolewa na Meneja mradi wa …

Rais Magufuli Asaini Sheria ya Huduma za Habari

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, inawataarifu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wake wa 5 Mjini Dodoma. Rais Magufuli amesaini Sheria hiyo tarehe 16 Novemba, 2016. Dkt. Magufuli amewapongeza wadau wote …

Waziri Mbarawa Awaomba Wadau Binafsi Kushirikiana na Serikali

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka wadau wa Sekta binafsi kujitokeza na kushirikiana na Serikali katika uwekezaji wa ujenzi wa miradi ya usafirishaji nchini. Aidha amewataka wadau hao kuendelea kufadhili utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyo chini ya sekta hiyo ili kuchochea fursa za maendeleo. Hayo ameyasema wakati akifungua mkutano wa 10 wa mashauriano …

Ijue Historia Fupi ya Hifadhi ya Taifa ya Katavi

  Mmoja wa Simba akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Baadhi ya Mamba wakiwa wamepumzika katika hifadhi ya Taifa ya Katavi. Hawa ni Punda milia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Kama kibao kinavyo onekana hili ni Eneo la Tambiko ambapo watu huja kusali na kutoa sadaka mbalimbali. Simba akiwa na mzoga wa Kiboko. Na  Walter  Mguluchuma     …

Waziri Mpango Mgeni Rasmi Siku ya Takwimu Afrika

Na Dotto Mwaibale   WAZIRI wa Fedha Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). Maadhimisho hayo yatafanyika kesho kuanzia saa tatu asubuhi ambapo wadau mbalimbali wa masuala ya takwimu na wananchi watahudhuria.   Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari …

Watanzania Kuanza Kunufaika na Utambulisho wa Taifa, NIN

            WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi; Mh. Mwigulu Nchemba (Mb) ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ambapo alikutana na Menejimenti ya NIDA na kupokea taarifa ya maendeleo ya shughuli ya Usajili na Utambuzi wa Watu. Akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa Vitambulisho vya Taifa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA; Ndugu Andrew …