Msanii wa bongo flave Albert Mangwea aka ngwea amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini japo mpaka sasa akijulikana nilichomtoa uhaki. -BBC
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TICAD – V Kuleta Neema Tanzania Fly-over Kujengwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwasili nchini Japan Mei 29, 2013, kushiriki katika Mkutano wa Tano wa Kuzungumzia Maendeleo…
Continue Reading....Viongozi wa SADC Wampongeza Rais Kikwete
WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameipongeza Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuia hiyo chini ya Uenyekiti…
Continue Reading....Mnaojipitisha Urais Kabla ya Wakati Tusilaumiane
NA BASHIIR NKOROMO, IRINGA KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesisitiza kwamba Chama kitamwadhibu bila huruma mwanachama yeyote anayejipitisha-pitisha katika maeneo mbalimbali…
Continue Reading....KINANA: CCM Imedhamiria Kuchukua Kata Zote 25
NA BASHIR NKOROMO, IRINGA CHAMA Cha Mapindizi (CCM) kimesema kimedhamiria kushinda kwenye kata zote 25 katika uchaguzi mdogo wa madiwani ambao kampeni zake zinaendelea katika…
Continue Reading....