Na Ally Daud-MAELEZO WATANZANIA hasa watumiaji wa pombe na Uvutaji Sigara wamehaswa kuepuka matumizi hayo kwani yanachangia kuongeza magonjwa yasiyoambukiza ili kusaidia kupunguza asilimia 1.5 ya vifo vinavyotokana na magonjwa hayo kwa kukinga, kutibu na kuzingatia afya ya akili kufikia mwaka 2030. Akizungumza hayo kwenye ufunguzi wa mkutano wa Utekelezaji wa mpango mkakakti na Huduma za magonjwa yasiyoambukiza kwa …
Muhimbili Yamshikilia Mzazi kwa Kukosa Sh 338,257
Na Dotto Mwaibale MZAZI Sakina Mohamed Lembo (26) pichani mkazi wa Mbagala Kibonde Maji amezuiliwa kuondoka wodi ya wazazi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), kutokana na deni la sh. 338,257 baada ya kufanyiwa oparesheni ya uzazi. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi wodini hapo Dar es Salaam leo, Lembo alisema hajui hatma yake kwani yeye …
Uchaguzi Mkuu Marekani; Tanzania Inachakujifunza – NEC
Na Margareth Chambiri – Dar es Salaam MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani amesema jambo kubwa ambalo watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na Uchaguzi wa Marekani uliomalizika hivi karibuni ni kwa wananchi kuheshimi mifumo ya Uchaguzi. Mkurugenzi Kailima ametoa kauli hiyo ikiwa ni tathimi yake kuhusu uchaguzi huo wa Marekani na namna ambavyo baadhi …
TACAIDS na Ushauri Mzito kwa Watanzania…!
Na Dotto Mwaibale WANANCHI wametakiwa kupima kila wakati na kuendelea kutumia kinga ili kujiepusha na maambuki mapya ya VVU. Mwito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika kikao cha makamishina wapya wa tume hiyo kilichoketi jijini Dar es Salaam juzi. “Tunapaswa kuwa ni mikakati endelevu ya kupambana …
Mtandao Unaotetea Marekebisho ya Sheria Usalama Barabarani Wawakumbuka Wahanga wa Ajali
MTANDAO WA WADAU KUTOKA ASASI ZA KIRAIA UNAOTETEA MAREKEBISHO YA SHERIA NA SERA IHUSUYO USALAMA BARABARANI TANZANIA. SIKU YA KIMATAIFA KUWAKUMBUKA WAHANGA WA AJALI ZA BARABARANI 20 NOVEMBA, 2016. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Matukio ya ajali za barabarani yamekuwa na athari nyingi hapa nchini kiuchumi na kijamii. Vilevile matukio haya ya ajali za barabarani yamekuwa yakiwasababishia wananchi …
Awamu Pili Shindano la SBL Kutafuta DJ Mbobezi Kuchanganya Muziki Yaanza
Meneja chapa wa vinwaji vikali Shomari Shija akifafanua jambo wkwa waaandishii wa habari katika mkutano huo uliofanyika katika ofisi za SBl Temeke jijini Dar es salaam,katikati ni jaji mkuu wa shindano hilo Dj PQ na kushoto mwishoni ni Mkuu wa Masoko na Vinywaji vikali wa SBL , Stanley Samtu . Meneja Biashara wa SBL Esther Raphael …