Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 655

Category: Habari za Nyumbani

Viongozi Watakiwa Kuheshimu Wakaguzi wa Ndani

Posted on: June 6, 2013 - jomushi
Viongozi Watakiwa Kuheshimu Wakaguzi wa Ndani

Na Mwandishi Wetu, Mbeya VIONGOZI wenye dhamana ya kusimamia mapato ya ndani katika halmashauri nchini wametakiwa kuboresha miundombinu ya kazi za wakaguzi wa ndani ili…

Continue Reading....

Msanii Khadija Kopa Afiwa na Mumewe

Posted on: June 6, 2013 - jomushi
Msanii Khadija Kopa Afiwa na Mumewe

Khadija Kopa Afiwa na Mumewe MSANII maarufu wa muziki wa taarab, Khadija Omar Kopa amefiwa na mume wake, Jafari Ali Yussuf aliyekuwa mgonjwa. Kwa mujibu…

Continue Reading....

Hotuba ya Wizara ya Fedha, Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2013/14 Bungeni Dodoma

Posted on: June 6, 2013 - jomushi
Hotuba ya Wizara ya Fedha, Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2013/14 Bungeni Dodoma

JAMHURI YA MUUNGANO WA TAN ZANIA WIZARA YA FEDHA MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHESHIMIWA DKT. WILLIAM AGUSTAO MGIMWA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO…

Continue Reading....

Serikali Yaumbuka Sekta ya Elimu

Posted on: June 6, 2013 - jomushi
Serikali Yaumbuka Sekta ya Elimu

*Kitabu cha hesabu chawapotosha wanafunzi (2X7=15) SERIKALI imeingia katika kashfa nyingine kwenye sekta ya elimu baada ya kudaiwa kuruhusu vitabu vyenye maelekezo yasiyo sahihi. Mbunge…

Continue Reading....

Singapore Kuendelea Kuisaidia Tanzania Kielimu

Posted on: June 6, 2013 - jomushi
Singapore Kuendelea Kuisaidia Tanzania Kielimu

SINGAPORE itaendelea kuisaidia Tanzania Katika jitihada zake za kuinua elimu na kuongeza ujuzi kwa Watanzania zaidi kupitia mpango wake wa kutoa fursa za mafunzo kwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awatunuku Nishani Askari 29 wa Magereza Nyanda za Juu KusiniĀ 

Posted on: June 6, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Awatunuku Nishani Askari 29 wa Magereza Nyanda za Juu KusiniĀ 

Msafara wa Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja ukiwasili katika viwanja vya Chuo cha ufundi Ruanda Jijini Mbeya kwa ajili ya kuwatunuku nishani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari