UMOJA wa Ulaya (EU) na Umoja wa Mataifa (UN) wamejiunga pamoja kuendesha kampeni ya uelewa wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) nchini Tanzania. Aidha kwa pamoja wamezuru miradi iliyofadhiliwa na EU. Wakiwa Mkoani Iringa wamepata nafasi ya kuzungumza na wanachuo 1,000 kutoka vyuo vikuu vya Iringa na Mkwawa kwenye semina iliyoelezea malengo hayo ya dunia ambayo ni sehemu ya …
METDO Yasaidia Wazee Kituo cha Kiilima Mkoani Kagera
Kushoto ni Dkt Peter Shija Mganga Mfawidhi kutoka Zahanati ya Ibosa akisisitiza jambo kwa Afisa ustawi wa Jamii Wilaya ya Nyamagana ambaye pia ni katibu wa TAWSO Mwanza Bi Abigali Mhingo. Meneja Mradi wa METDO Tanzania Bw Hussein Sungura akisaini kitabu cha wageni kwa niaba ya uongozi wa METDO Tanzania katika kituo cha Wazee KIILIMA Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera. Hiki …
Rais Msaafu Mwinyi Aongoza Mahafali ya Chuo Kikuu Kampala, KIU
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali. Baadhi ya waadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo. Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na mgeni rasmi katika mahafali …
TAMISEMI Yataka Serikali Izingatie Malengo ya Maendeleo Endelevu
MKURUGENZI wa Mifumo Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Henry Katabwa ametaka Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s) kuhusishwa kwenye michakato ya maendeleo ya serikali za mitaa, hasa kwenye programu zinazotekelezwa kwenye ngazi za chini kabisa ambapo ndiko wananchi wenye hali duni kimaendeleo wanapatikana. Kauli hiyo aliitoa wakati akifunga warsha ya malengo ya maendeleo endelevu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii na Mipango kutoka …
Kampuni ya SBL Yamzawadia Mteja wa Bia Pikipiki Mpya
Meneja Chapa wa Bia ya Pilsner, Isamba Kasaka akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) wakati wa kukabidhi zawadi kwa mshindi wa pikipiki mpya iliyotolewa kwa Shindano la kunywa bia ya Pilsner lililofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki linalojulikana kama “Pilsner Lager Nguruma Party.” Pembeni yake ni Meneja Biashara Mipango na matukio Pwani na Dar …
CAG Kutafuta ‘Madudu’ Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa, Mbeya
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesanu za serikali (CAG), anatarajia kuanza kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya baada ya kudaiwa kuwepo kwa viashiria vya ubadhilifu wa fedha zilizotumika kukamilisha ujenzi wa soko la Mwanjelwa. Awali, Agosti 9 mwaka huu, Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akiwa katika ziara yake Mkoani Mbeya, alifanikiwa kutembelea mradi huo wa soko ambao …