Wajasiliamali Watakiwa Kuwa na Mipango Madhubuti

WANAWAKE Wajasiriamali nchini wametakiwa kuwa na mshikamano, uthubutu, na upendo ili kusonga mbele katika shughuli zao za kiuchumi. Mwito huo ulitolewa na Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Sura Mpya na Sauti Mpya Tanzania (NFNV), Emma Kawawa ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati akifunga mkutano wa kupanga na kuweka mikakati ya vikundi vya umoja na umoja wa kitaifa wa wanawake (Uwawasota) kwa …

TPHA Wachaguana Kutafuta Viongozi Wapya…!

   Mwenyekiti Mteule wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Shaibu Mashombo (wa nne kushoto), akiwa na viongozi wenzake wateule waliochaguliwa katika mkutano mkuu wa chama hicho 2016 jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Dismas Vyagusa, Violeth Shirima, Dk. Godfrey Swai, Dk.Nderineia Swai, Dk. Feliciana Mmasi,  Dk. Mwanahamisi Hassan na Dk.Elihuruma Nangawe ambaye alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho …

Ridhiwani Kikwete Awaongoza Wapiga Kura Wake Kupima UKIMWI

  Baadhi ya wananchi wa jimbo la chalinze walijitokeza katika mkutano wa Mbunge wa Jimbo hilo Ridhiwani mara baada ya kumaliza zoezi la upimaji virusi vya Ukimwi.   Mbunge akibadilishana na moja wa wazee maarufu katika kata ya Bwilingu Aliyejulikana kwa jina la Mzee Mbise , baada ya mkutano na wananchi.   Mwenyekiti wa kitongoji cha Bwilingu Ndg. Saidi Khalfan …

Rais Magufuli Avamia Gereza la Ukonga Dar, Atoa Maagizo…!

      AMIRI Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 29 Novemba , 2016 (Jumanne) amefanya ziara ya kushtukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar Es Salaam na kupiga marufuku uuzwaji wa sare za majeshi nchini na watu binafsi na kutaka wale wote wanaouza sare hizo wazikabidhi kwa majeshi husika mara …

SBL Yatoa Saruji ya Milioni 10 Kusaidia Waathirika wa Tetemeko Kagera

  Meneja Usalama wa SBL, Sebastian Kalugulu  akimkabidhi  Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu baadhi ya mifuko ya saruji 500 yenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa wahanga wa janga la tetemeko la ardhi lililotoa mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yalifanyika  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera mjini Bukoba mapema leo.   Meneja Usalama wa SBL, Sebastian Kalugulu …

Madaktari Watakiwa Kujadili Magonjwa na Jamii…!

  Katibu Mtendaji wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Fabian Magoma  (kulia), akizungumza katika Kongamano la 33 la siku tano la Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) linaloendelea Hoteli ya Kebby Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni  Mwenyekiti wa TPHA anayemaliza muda wake, Daktari Bingwa  Elihuruma Nangawe. Dk. Manase Frank akitoa mada kwenye kongamano …