Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 635

Category: Habari za Nyumbani

Mahakama Yaelekeza Mazishi ya Mandela, Yaamuru Miili ya Wanawe Ifukuliwe Ikazikwe Atakapozikwa

Posted on: July 5, 2013 - jomushi
Mahakama Yaelekeza Mazishi ya Mandela, Yaamuru Miili ya Wanawe Ifukuliwe Ikazikwe Atakapozikwa

HATIMAYE vita iliyokuwa ikipiganwa ndani ya familia ya Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kuhusu mahali panapostahili kuwa eneo la kuzikia miili ya wanafamilia…

Continue Reading....

Siku 27 za Mandela Akipigania Uhai Wake

Posted on: July 5, 2013July 5, 2013 - jomushi
Siku 27 za Mandela Akipigania Uhai Wake

MAMBO yanayofanyika katika maeneo matatu ya Afrika Kusini, Hospitali ya Medclinic alikolazwa, katika makazi yake Mtaa wa Houghton, Barabara ya Laan 12, Johannesburg na makazi…

Continue Reading....

FBI Waingia Arusha Kuchunguza Bomu la Soweto

Posted on: July 5, 2013 - jomushi
FBI Waingia Arusha Kuchunguza Bomu la Soweto

ASKARI wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), tayari wapo Arusha kushirikiana na polisi ili kuchunguza tukio la mlipuko wa bomu la kutupa kwa mkono…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Ataka Zao la Pamba Lifufuliwe, Akemea Uongozi Wakimaslahi..!

Posted on: July 4, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Ataka Zao la Pamba Lifufuliwe, Akemea Uongozi Wakimaslahi..!

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amecharuka na kuwakemea viongozi na watendaji wakuu kwenye sekta ya pamba ambao wanawawonya wakulima wadogo kwa kuwazuia kutumia…

Continue Reading....

Marekani Yaisaidia Tanzania Matibabu ya Saratani ya Mfuko wa Kizazi

Posted on: July 4, 2013 - jomushi
Marekani Yaisaidia Tanzania Matibabu ya Saratani ya Mfuko wa Kizazi

Na Anna Nkinda – Maelezo SERIKALI ya Marekani kupitia Mpango wa dharula wa kupunguza makali ya VVU na Ukimwi (PEPFAR) imeipatia Serikali ya Tanzania dola…

Continue Reading....

Naibu Waziri Janet Mbene Atembelea Banda la Wizara ya Fedha Sabasaba

Posted on: July 4, 2013 - jomushi
Naibu Waziri Janet Mbene Atembelea Banda la Wizara ya Fedha Sabasaba

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari