Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 630

Category: Habari za Nyumbani

Simanzi Zatawala Familia za Askari JWTZ Waliouwawa Darfur

Posted on: July 17, 2013 - jomushi
Simanzi Zatawala Familia za Askari JWTZ Waliouwawa Darfur

VILIO na simanzi vimetawala katika baadhi ya familia za askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao waliuwawa katika eneo la Darfur, Sudan ambako…

Continue Reading....

Freeman Mbowe Ajisalimisha Polisi Dar es Salaam

Posted on: July 16, 2013 - jomushi
Freeman Mbowe Ajisalimisha Polisi Dar es Salaam

*Ni baada ya kusakwa siku kadhaa, Ahojiwa kwa tuhuma za uchochezi MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amejisalimisha polisi. Mbowe, alijisalimisha…

Continue Reading....

Rais Kikwete Alaani Mauwaji ya Askari wa JWTZ Darfur

Posted on: July 15, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Alaani Mauwaji ya Askari wa JWTZ Darfur

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa na tukio la kushambuliwa…

Continue Reading....

Tendwa Avionya Vyama vya Siasa Juu ya Uanzishwaji Vikundi vya Kujilinda

Posted on: July 15, 2013 - jomushi
Tendwa Avionya Vyama vya Siasa Juu ya Uanzishwaji Vikundi vya Kujilinda

Na Magreth Kinabo, Maelezo- Dar es Salaam OFISI ya Msajili wa Vyama Vya Siasa  nchini imevitaka vyama vya siasa nchini kutii agizo la  kutoanzisha kambi za mafunzo…

Continue Reading....

Statement by the spokesperson of the High Representative Catherine Ashton on the attack on UNAMID peacekeepers in Darfur

Posted on: July 15, 2013 - jomushi
Statement by the spokesperson of the High Representative Catherine Ashton on the attack on UNAMID peacekeepers in Darfur

Statement by the spokesperson of the High Representative Catherine Ashton on the attack on UNAMID peacekeepers in Darfur THE spokesperson of Catherine Ashton, High Representative…

Continue Reading....

CHADEMA Washinda Kata Zote Uchaguzi Mdogo Udiwani Arusha

Posted on: July 15, 2013 - jomushi
CHADEMA Washinda Kata Zote Uchaguzi Mdogo Udiwani Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha HATIMAYE matokeo ya uchaguzi mdogo wa kata nne za Mkoani Arusha yamejulikana na taarifa ambazo mtandao huu umezipata, chama cha Chadema…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari