Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 628

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Akutana na Profesa Lipumba

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Akutana na Profesa Lipumba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Julai 18, 2013, alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi – CUF,…

Continue Reading....

EAC, Sekta Binafsi na Vyama vya Kiraia Kukutana Nairobi

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
EAC, Sekta Binafsi na Vyama vya Kiraia Kukutana Nairobi

Na Mwandishi wa EANA, Arusha KENYA imeteuliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa pili wa Katibu Mkuu wa Jumuiaya ya Afrika Mashariki (EAC) kuhusu masuala ya…

Continue Reading....

Edward Lowassa Aanza Kumfagilia Kikwete

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Edward Lowassa Aanza Kumfagilia Kikwete

Na Swahili TV ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, amemsifia Rais Jakaya Kikwete kuwa ameweza kuifanya Tanzania kupata heshima  katika ulingo wa kimataifa, aliyasema hayo wakati…

Continue Reading....

Mbunge Awaomba Wapiga Kura Wake Kumvumilia Juu ya Ahadi za Maji

Posted on: July 19, 2013July 19, 2013 - jomushi
Mbunge Awaomba Wapiga Kura Wake Kumvumilia Juu ya Ahadi za Maji

Na Joachim Mushi, Aliyekuwa Kishapu MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Seleiman Nchambi amewaomba wapiga kura wake kuwa wavumilivu juu…

Continue Reading....

JK Atuma Rambirambi Kifo cha Jaji David Chipeta

Posted on: July 18, 2013 - jomushi
JK Atuma Rambirambi Kifo cha Jaji David Chipeta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Mohamed Chande Othman kuomboleza kifo…

Continue Reading....

Serikali ya Tanzania Yawaomba Wananchi Kushiriki Ulinzi wa Rasilimali

Posted on: July 18, 2013July 19, 2013 - jomushi
Serikali ya Tanzania Yawaomba Wananchi Kushiriki Ulinzi wa Rasilimali

Na Hassan Silayo- MAELEZO SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imewaomba wananchi kusaidia katika katika ulinzi wa rasilimali nchini. Hayo yamesemwa jana na Afisa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari