MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) inakutanisha watendaji mbalimbali na wataalamu kutoka sekta za Maji, Afya na Elimu pamoja na wale wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuangalia changamoto za kijinsia zilizopo kwenye sera za sekta tajwa. Watendaji hao na wataalamu wanaoungana na wengine kutoka Halmashauri zote za jiji la …
Serikali Kujenga Daraja Kubwa Kigongo – Busisi Mkoani Mwanza
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanza ujenzi wa Daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 litakalounganisha eneo la Kigongo na Busisi, wilayani Misungwi Mkoani Mwanza. Kauli hiyo imetolewa mkoani Mwanza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati akizungumza na watumishi wa Taasisi za Wizara hiyo ambapo pamoja na mambo mengine …
Halmashauri Jiji la Mbeya Yasaini Mkataba Kuboresha Barabara
HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, leo imeingia mkataba na makandarasi mbalimbali wa ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja katika Kata 14. Mkataba huo, umesainiwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, David Mwashilindi huku ukishuhudiwa na baadhi ya madiwani wa Kata husika pamoja na mwanasheria wa halmashauri hiyo Davis Mbembela. Awali akizungumzia tukio hilo kabla ya kusaini, Meya Mwashilindi …
Polisi Dar ‘Wamkamata’ Kiongozi wa Mtandao wa JamiiForums…!
MKURUGENZI Mtendaji wa mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo amenyimwa dhamana ya polisi kwa madai ya “amri kutoka kwa wakubwa.” Taarifa zinaeleza kuwa Maxence aliitikia mwito wa Polisi – Kanda Maalum ya Dar es Salaam, leo asubuhi, lakini alipofika Kituo Kikuu cha Kati cha Polisi, alizuiliwa na polisi. Akiwa ameongozana na mwanaharakati wa kutetea uhuru wa mawasiliano na mhariri, Simon Mkina …
Uber Kukuendesha Msimu Huu wa Siku Kuu..!
UBER huendesha modeli fanisi inayoitwa bei hai, ambayo huwawezesha watumiaji kupata gari wakati wanaihitaji sana – hasa wakati wa siku za mwaka zenye shughuli nyingi, kama vile Siku ya Kuamkia Mwaka Mpya au baada ya hafla kubwa ya michezo. Msimu wa sikukuu ukianza nchini Tanzania, tunakabiliana na changamoto ya mwaka: tutawezaje kufika nyumbani sikukuu zikiisha? Ijapokuwa ni rahisi sana kuwajibika, watu wengi …